Zari aringia umbo lake miezi tatu baada ya kuzaa mtoto wake wa tano
Jambo ambalo wanawake wengi wanalopungana nalo ni kuongeza uzito wa mwili baada ya kuzaa mtoto.
Zari Hassan si tofauti hata kamwe na leo alikuwa kwenye matandaoni kufarahia kurudisha umbo lake mzuri miezi tatu baada ya kupata Nilan.
Mtazame hapa: