Zari Ajibishana na Sanchi Mtandaoni.
Mwanadada Zari The Bossy amejikuta akiingia katika majibizano na Sanchi bada ya mwanadada huyo kumtaka zari kuandika kile anchokiandika kwa lgha ya kiswahili kwa madai kuwa wao watanzania mabo ni mahsmeji zake hawaelewi anachokiongea katika lugha ya kingereza.
Zari ambayo anaonekana alijibu kwa hasira kidogo alisema kuwa swala la watnzania kutokujua kiswahili sio jukumu lake ila ni jukumu la rais wao .
Katika ukurasa wa maoni katika moja ya post ya mwana dada zari mambo yarikuwa hivi kama inavyoonyesha katika picha.