Wema Ashindwa Kuzuia Hisia Zake Kwenye Wimbo Mpya wa Daimond
Mwanadada Wema Sepetu ameshindwa kuzuia hisia zake baada ya kusifia wimbo mpya wa Diamond uliotoka siku ya jana ambao amemshirikisha msanii mkubwa Duniani Omarion.
Wema Sepetu ambae kipindi cha kwanza alikuwa adui mkubwa wa Diamond na sasa wapo pamoja huku tetesi kubwa ikiwa kwamba wamerudiana kwa sababu hapo awali walikuwa ni wapenzi ameshindwa kunyamaza kimya baada ya kuonekana kuupenda na kuuelewa wimbo huo.
Katika ukurasa wake wa instagram Wema Sepetu aliandika.
all dat said… lets get back to reality .. chibu, unaweza…chibu unajua…lets keep doing wat u do and live you dream ,,bonge moja la track na hongera kwa kummezesha Omarion swahili ….i can imagine kazi uliyokuwa nayo ..salute kwako.
The video be on you tube ladies and gentleman..i keep reapiting wallahy link on his bio.