Wasanii Watajwa kuwa Waathirika Wakubwa wa Madawa ya Kulevya.
Wasanii wa muziki na filamu nchi , watajwa kuwa dio kundi kubwa sana linaloathirika na matumizi ya madawa ya kulevya kuliko kundi lingine la watu wowote nchini.Hii imesema na Kamishna mkuu wa kupambana na kuzuia rushwa jana alipokuwa akiongea na waandishi wa habari juu ya mapambano dhidi ya madawa ya kulevya,
Kamishna huyo anasema kuwa , hata hivyo kiais cha kusafirisha na kuuza madawa hayo kwa sasa imepungua sana sio kama hapo awali lakini wanaoongoza kwa kasi katika kufanya shugfhuli hizo ni wasanii.
Kmaishna huo anasema kuwa baaada ya kugundua kundi hilo ndilo linaloathirika sana wameamua kupanga mkutana na wasanii nchini utakao fanyika febraury 13 mwaka huu kwa ajili ya kuongea na wasanii huku mgeni rasmi akiwa ni mama Samia ( makamo wa Rais ). ili kuongea nao kuhusu tatizo hilo.