Wanamuziki Wanashindania Shangwe Kutoka kwa Mashabiki :-Mwana Fa
Mwanamuziki wa siku nyingi na amekuwa bado akifanya vizuri katika anga za muziki mwana Fa ambae nae ni mmoja katika list ya funga mwaka na king kiba amefunguka na kuzungumzia swala la yeye kufanya show ya alikiba na ahali ya muziki kwa sasa tanzania.
Mwana-FA anasema kuwa wasanii kwa sass hawafanyi kazi kama zamani ingawa muziki umekuwa mwingi lakini kikubwa wanachofanya ni kugombania shangwe la mashabiki na kelele nyingi.
Kumekuwa na wingi wa wasanii katika anga za muziki ikiwa wengine ni wapya kabisa lakini uwepo wa timu na mashabiki wengi kuwa na kelel za kimitandano zimekuwa zikiharibu kabisa muziki.
Muziki umeshuka sana kutokana na wasanii kushndania sana shangwe la mashabiki kulikokufanya kazi.