Wafahamu Wasanii Wenye Mvuto Zaidi Bongo Movies
Hawa ni wasanii wa kike bongo movies ambao wamekuwa katika rekodi ya wasichana wenye mvuto zaidi.
ELIZABETH LULU MICHAEL
Ameanza kazi ya sanaa akiwa bado na umrri mdogo sana na mpaka sasa anafanya vizuri sana, Amepitia misukosuko mingi ambayo imemfanya kuwa imara zaidi katika maisha yake.Lulu uonekana maridadi na mwenye mvuto kila iitwapo leo.kwa malkia wa bongo movie yeye anaweza kuwa ni namba moja.
YOBNESH YUSUPH(batuli)
ni mwanamama mwenye mtoto mmoja wa kiume, lakini mvuto na urembo wake ambavyo anazidi kuutunza huwezi kuzania kuwa ni mzazi.
IRENE UWOYA
Tangu kuwa miss Tanzania mpaka sasa, irene amekuwa moja ya wasichana wanaongoza kuwa na muonekano mzuri, mwili wake haubadiliki na mavazi yake umfanya kuwa maridadi na mwenye mvuto zaidi.
WEMA SEPETU.
Wema Sepetu, mwanadada anaependwa karibia na Tanzania nzima, ni msanii wa kike anaeongoza kuwa na followers wengi tanzania. Wema hachuji kwa uzuri na hakuna nguo atakavyovaa ikaacha kumpendeza .
WELU MATILDA SENGO
Malkia wa bongo movie alikuja kwa kasi katika tasnia, pia anafanya vizuri akiwa katika kazi yake.