Vazi Jipya la Harusi kwa Wanawake Linalobamba.
Vazi kubwa linalojulikana la harusi kwa kina dada ni shela tu ambayo wengi wamezoea, lakini kumbe lipo vazi lingine zuri na la kawaida kabisa ambalo linaweza kuvaliwa na mwanamke na kuonekana kuwa nadhifu sana na lenye heshima kabisa.tofauti na shela ambalo mara nyingi ni lazima liwe jeupe, kivazi hiki cha kigauni chenye kufunika mikono uweza kuwa na rangi ile unayotaka wewe.