Vannessa Azindua Bidhaa Yake
Mwanadada Vanesa mdee amefanikiwa kuzindua bidhaa yake na kwa sasa ipo sokoni bidhaa ambayo yeye anasema kuwa ilikuwa ni ndoto ya muda mrefu sana na hatimaye sasa ameifanikisha kwa kishindo.
Mwanadada huyo ameiweka bidhaa hiyo kwa sasa ipo sokoni lengo likiwa ni kuwafanya wadada wadogo wanaokwenda shule kuwa na muonekana mzuri hasa wanapovaa viatu vizuri kwa bei nafuu.
Bidhaa hiyo ya kiatu kwa mtoto wa kike ainapatikana katika mduka yote ya bota tanzania kwa bei nafuu kwa lengo la kunufaisha pia mtoto wa familia ya hali ya chini.
Vannesa anasema kuwa hiyo ilikuwa ni ndoto yake ya siku nyingi na anashukuru mungu kwamba kitu icho kimetimia na kitawasaidia wanajamii pia.