Vannesa na Jux Warudi kwa Kishindo, Sasa Hivi ni Zamu ya Burundi
Wasanii na wapenzi wa siku nyingi Vanesa mdee na Juma jux wamerudi kwa kisindo na ile ziara yao ya inlove and money huku zamu hii ikiwa inatua nchini burund kwa kishindo.
Wasanii hao ambao walipumzika kidogo baada ya kufanya ziara hiyo ya kuwafikia mashabiki wao kwa mikoa kadhaa nchini , wamemau akunza tena ziara hiyo huku wakisema kuwa kwa sasa itakuwa ni zaidi ya awali.
Pamoja na kwamba wawili hao wamkeuwa wapenzi lakini hii haiwazuii kufanya kazi pamona na kuchanganyana na wasanii wengine katika kufanya kazi.
Akiwakaribisha na kuwataarifu kwa kishindo kabisa , mashabiki zake wa burundi, mwanadada Vee anasema kuwa tamasha hilo linatarajiwa kufanyika March 3 mwaka huu.