Vannesa Awatolea Povu Trace Music
Mwanadada Vannesa Mdee amefunguka na kusema kuwa kituo cha televisheni cha Trace Music nchini kenya kimekuwa na upendeleo wa kuchagua kuwasapoti badhi ya wasani wakubwa tu na kuwaacha wengine wakiwa wanalanda landa.
Haijafamika kwanini vanesa ameamua kusema hivyo au kua nini ameona kwa wasanii na kituo icho mpaka amefikia hatua ya kusema hivyo.
Kupitia ukurasa wake wa twitter, Vannesa Mdee aliongea maneno haya ” wacha tu nisme kuwa tracemuziki imekuwa station flani ya muziki yenye upendeleo, kwa wasani kadhaa wa muziki wa muda mrefu.kuna ule upendeleo ya kuficha na kuna ule wa live bila chenga.