Uzinduzi wa Album ya Diamond Nchi Kenya Ulivyofana.(+picha)

Msanii wa bongo , Diamond Platinumz siku ya tarehe 14 march amezindua rasmi album yake ya A Boy From Tandale ikiwa na nyimbo 20.Diamond aliongozana na familia yake na team yake nzima ya wasafi kwa ajili ya kufanya uzinduzi huo nchi kenya na kujaza watu wengi sana katika ukumbi aliofanyia show.

Aki-perform jukwaani na wasanii wake walioko katika lebel yake lakini pia Diamond aliweza kufanya show na msanii mkubwa Duaniani kutoka nje ya bara la afrika Omarion.

download latest music    

Diamond akiwa na Familia yake

Diamond aki-perform jukwaani na Rich Mavoko.

Diamond akiwa na meneja wake Babu Tale.

Diamond akiwa jukwaani akitoa burudani ya moja ya nyimbo zake zilizopo katika album yake.

 

Diamond akiwa na mama yake mzazi Bi.Sandrah pamoja na mdau wa muziki.

Mama Diamond akiwa na mume wake.

Diamond akiwa jukwaani na omarion.

Diamond akiwa jukwaani na rich mavoko.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.