Umuhimu wa Tendo la Ndoa Kiafya (+18)
Wataalamu wanasema kuna umuhimu kubwa kwa mwanadamu kufanya tendo la ndoa kwa ajili ya kuimarisha afya yako,kwanza kabisa inapunguza mafuta mwili lakini pia inasemekana kuwa endapo mtu anafanya tendo la ndoa mara tau kwa wiki ndani ya mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili75,tendo la ndoa uongeza vizalishi 150 katika mwili ambapo kwa nusu saa ni sawa na kukimbia dakika 15.Sio hayo tu umuhimu mkubwa wa tendo la ndoa unakuja katika yafuatayo’
kuongeza mwendo wa damu mwilini.
Tendo la ndoa uongeza kasi ya mtiririko wa damu katika mwili wa mwandamu, hasa katika ubongo na sehemu mbalimbali, lakini pia hii usaidia zaidi usaidia zaidi kasi ya mapigo ya moyo na katika mfumo wa upumuaji.
Msukumo mzuri wa damu mpya yenye oxygen husaidia zaidi katika uunguzaji mzuri wa chakula lakini pia ni vizuri kwa sababu usaidia kutoa uchafu katika mishipa ya damu ambayo ingeweza kumfanya mtu kuumwa mwili.
Kupunguza mafuta mwilini(cholestrol)
Tendo la ndoa uweka uwiano sawa kwa mafuat yenye kileo mwilini yaani kwa ile iliyo mbaya na hata ile iliyo nzuri uziweka sawa ili mwili ufanye kazi kwa uwiano sawa.
Kupunguza maumivu ya mwili
wakati wa tendo la ndoa homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo hii uchangia kwa kiasi kikubw akutengeneza kwa endorphini ambayo husaidia kupunguza maumivu ya mwili kama vile kuvimba sehemu mbalimbali za viungo(arthitis) , shingo (whiplash) na maumivu ya kichwa.
Kupunguza mfadhahiko ya moyo na kuondoa msongo wa mawazo.
Inaaminika kwamba mara nyingi watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara ni watu wenye tabasamua muda wote,hii ni kwa sababu mara mtu anapofanya tendo la ndoa na kupata muda wa kupumzik ahujikuta akijisikia vizuri na mwenye nguvu muda wote.wapo wachache waliowahi kuthibitisha kuwa wanapata usingizi mmno wanapomaliza kufanya tendo la ndoa na kulala,lakini pia wengi wamekuwa wakikiri kuwa siku zao huwa njema wanapopata muda wa kufanya tendo la ndoa asubui kabla ya kuingia katika kazi na majukumu mbalimbali.
Kuishi Muda mrefu huku ukionekana kijana.
Wakati wa kufanya mapenzi homoni iitwayo DHEA uzalishwa mwilini na kusababisha msisimuko katika mwili, homoni hii uwa na kzi kubwa ya kurekebisha mwili,kuongeza ufahamu,kumiarisha mifupa na kutengeneza afya ya moyo.
kuondoa baridi na mafua.
Elimu inaonyesha kuwa wanaofanya mapenzi mara kwa mara huongeza uzalishaji wa chembe chembe hai za mwili kwa 30% , chembe hizo ulinda mwili kutopatwa na magonjwa.