Tessy Chocolate Afungukia Tetesi za Baba wa Mtoto Kumnyima Matunzo
Mwanadada Tessy Chocolate amefunguka na kuongelea swala linalozunguka katika mitandao ya kijamii kuhusu baba wa mtoto wake kumnyima mtoto wake matunzo ya mtroto na kwamba amekuwa akimtelekeza mtoto.
Tessy anasema kuwa Aslay ni baba mzuri wa mtoto na tetesi hizo haizna ukweli owowte na katika vitu anashukuru mungu ni kwamba aslay amekuwa baba bora wa mtoto wake kila mara.
Alipokuwa akiongea na milard Ayo , Ressy alisema “hizo ztetesi hazina ukweli owowte na nimekuwa nikimshukuru sana aslay kwa sababu amekuwa baba bora sana kwa mtoto wake kila mara, amekuwa akitimiza majukumu yake kama baba na hata unaona kuna muda anamposti mtoto wake, , angekuwa hamuhudumii wala nisingekubali awe anamposti , lakini anafanya majukumu yake.
Lakini pia Tessy anasema kuwa hana bifu na baba wa mtoto wake hivyo hata kama baba huyo ataamua kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine kwake hana shoda kabisa.