Siku la leo tarehe 19 April 2018 Staa wa Bongo fleva Ali Salehe Kiba amefunga ndoa na mpenzi wake mwenye asili ya Kenya Bi. Amina huko Mombasa nchini Kenya.
I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.