TANZIA :-Alikiba Afiwa na Baba yake Mzazi
Baba mzazi wa msanii Ali Saleh Kiba amefariki alfajiri ya leo jijini Dar Es Salaam alipokuwa hspitali ya taifa ya Muhimbili ambapo alilazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya malazi yaliyokuwa yakimsumbua.
Hata hivyo iekuwa bado mapema sana kutoa taarifa za mazishi ya msiba huo kwa sababu ya kusbiri ya mazungumzo ya vkalo vya familia hivyo mashabiki na watu wa karibu wanaombwa kuwa watulivu mpaka familia itakapotoa taarifa za msiba na mazishi hayo.
Pole kwa familia ya msanii Alikiba na Abdul kiba.