Tanzania Kuibuka Kidedea Miss Albinism Afrika 2018
Katika kutaa kuonyesha msisitizo juu ya kunyanyapaa watu wenye ulemavu wa ngozi na pia kuuwawa kwao, watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kama albino walikuja na shindano lao la kutafuta mr ,a mrs albinims afrika amshariki ambap mr ametwaa jtaji ili kutokea Tanzania.
Shindano hilo liliofanyika Kenya, lilikuwa na lengo la kuwakutanisha watu wenye matatizo hayo na kuaweka amoja , lakini ia kuionyesha jamii kuwa hata wao pia wanaweza kufanya yale wanayoweza kufanya wengine.