Sister Fey Aomba Msaada

Mwanamuziki wa kike nchini asiekosa drama kila kukicha katika mitandao ya kijamii ametuma video katika ukurasa wake wa instagram akiomba msaada kwa mshabiki na watanzania kwa ujumla baada ya kuachana na mume wake.

Sister Fey anasema kuwa anajua ameshafanya mambo mengi ambayo yamekuwa yakimdhalilisha lakini anaomba msamaha na kuacha kumsakama na kuangalia ya mbele na kumsaidia kwa shida aliyoileta mbele ya mashabiki zake.

Sister Fey anasema kuwa anaomba sana kupata pesa kwa ajili ya kulipa kodi ya nyumba kwa sababu endapo hatopata pesa hiyo basi anaweza kufukuzwa katika nyumba anayokaa kwa sasa na hatojua wapi atakimbilia kwa sasa.

Ikumbukwe kuwa siku chake zilizopita, mwanadada sister Fey alitangazwa kusaini mkataba  wa kampuni mpya nchi kenya kwa ajili ya kusimamia kazi zake.

Sister Fey Apata Mkataba Mpya Nchini Kenya

Mwanadada Sister Fey ambae kwa sasa anauguliwa na maumivu ya kuachwa kwa talaka tatu na aliyekuwa mme wake Holy star , anapata faraja ya kufutwa machozi ya uchungu huo baada ya kupata shavu la kusaini mkataba na kampuni moja ya muziki  nchini Kenya inayojulikana kama Top star entertainment.

Mwanadada huyo ambae amekuwa katika game kwa muda mrefu lakini kwa sasa alikuwa kimya kimuziki na kujulikana sana kwa kiki hasa baada ya kujiingiza  katika mahusino ya kimapenzi na kijana mdogo  anategemewa kufanya vizuri katika muziki kwa sasa kwa sababu ya uongozi huo kuonekana imara a makini katika kazi.

Sister Fey  na holy star walifunga ndoa mwaka jana na kuachana mwaka huu kwa tuhuma za mwanamke kuwa akirudi usiku nyumban , tabia iliyomshinda mwanaume.

 

Kisa kukaa Selo, Sister Fey Agoma Kumuweka Mume Kwenye Mitandao

Mwanadada Sister Fey aefunguka na kutaoa sababu kubwa iliyowahi kumfanya mpaka sasa hasiweke picha za mwanaume wake katika mitandao ya kijamii.

Sister Fey anasema kuwa ameamua kumpumzisha mwanaume wake kwa sababu baada ya kuwekwa selo kwa sababu yake aliona hakuna haja tena ya kuwanufaisha walimwengu zaidi ya mapenziy ao.

sister fey anasema kuwa , walipelekwa polisi kwa sababu ya umri wa mwanaume huyo  lakini baadae walikuja kuchunguza na kugundua kuwa umri wake unafaa kabia kuwa na mahusiano na ndipo walipoamua kuachiwa lakini baada ya sekeseka hilo haoni haja ya kuweka picha katika mitando lakini hawajaachana.

Kama unakumbuka , msanii huyo aliwahi kuwekwa ndani na mPenzi wake baada ya kuwa anaweka picha na video za ajabu zisizokuwa na maadili katika mitandao ya kijamii, lakini tang baada ya tukio hilo ameonekana kujifunza kwa sasa.

Niko na mume wangu kama kawaida lakini siweiz kumpost tena katika mitandao kama zamani, ingawa tulipofika polisi tulikuwa kuwa umri unaruhusu kuwa nae na tutaishi nae mpaka milele labda kifo kitutenganishe lakini kwenye mitandao kwa sasa acha apumzike

Mh Shonza Kula Sahani Moja na Sister Fey

Mh naibu waziri wa sanaa na michezo bado  anaendelea kupigilia msumari wa moto na kufuatilia mienendno ya mwanadada Sister Fey kutokana na tabia yake ya kuwa anafabya mambo yanayowakwaza watu hasa baada ya kujiingiza katika mahusiano na kijana anaemzidi umri.

Mh Juliana Shonza haitakuwa mara yake ya kwanza au ya pili kujaribu kumuonya msanii huyo kuwa na nishamu na kuangalia kitu cha kuposti katika akaunt yake ya instagram kwa sababu vingi anavyoviweka haviedani na maadili ya sanaa.

Kama inakumbukwa siku chache za nyuma, msanii huyo aliwekwa ndani kwa kauli ya mh naibu waziri  baada ya kuweka picha chafu akiwa na mume wake huyo katika mitandao.

Akizungumza na wageni waalikwa katika party ya ACTWITHMONALISA , Mh naibu waziri anasema “wakina sister fey wanajifanya kuwa wao ni wasanii wakati wanafanya vitu vya ajabu katika mitandao wanadhallisha sana tasnia ya sanaa.

Sister Fey Afunga Ndoa na Kiben Ten Chake.

Mwanadada Sister Fey ambae hapa karibuni aliwekwa rumande kutokana na kusambaza picha zisizokuwa na maadili wakiwa faragha na mpezni wake aliejulikana kwa jina la kisanii Holystar, wameamua kufunga ndoa na kuhararisha mahusiano hayo kimya kimya.

Ikiwa bado watu wanajua kuwa mwanadada huyo yuko Rumande , ghafla jana zilianza kusambaa picha zikimuonyesha mwanadada huyo akiwa katika vazi la harusi na mwanaume huyo wakiwa na furaha ya tendo hilo.

Hata hivyo  mashabiki na wtu mbalimbali wanaamini kuwa kuna kitu kikubwa Sister Fey atakuwa amejifunza baada ya kuwekwa rumande na kukosa wa kumtetea kutokana na ukosefu wake wa maadili na kwa kufunga kwao ndoa basi watahshimu mahusiano yao.

Siwezi Kumzungumzia Sister Fey, Hakuwahi Kufundisha cha Maana Katika Jamii :-Steve Nyerere

Msanii wa bongo movies Steve Nyerere amefunguka na kusema kuwa hawezi kukaa katika vyombo vya habari na kuanza kumzungumzia Sister Fey kwa sababu kufanya hivyo ni kujidharirisha yeye mwenyewe kwa sababu Sister Fey hama cha muhimu cha kumzungumzia.

Akiongea na mwandishi wa habari Steve Nyerere anasema kumzungumzia Sister Fey ni sawa na kujidharirisha yeye kwa sababu unapomzungumzia steve nyerere unazungumzia nchi hivyo ni sawa na nchi kushindana na kijiji.

Hata hivyo Steve anasema kuwa kutokana na mambo mabaya aliykuwa akiyafanya Sister Fey likiwemo la kujiingiza katika mahusiano na mtoto mdogo limefanya hakuna hata msanii mmoja anaetaka kujua anaendeleaje huko alipokamatwa kwa sababu hiyo ilikuwa ni utovu wa nidhamu.

Lakini pia Steve anasema kuwa hii sio kawaida kwa msanii hata mmoja kutokumkumbuka sister fey lakini kutokana na mabaya yake ndio maana hakuna anaetaka kujua habari zake na kwa upande wake yeye anaona ni sawa tu kukamatwa kwake.

Sista Fey Kubadili Dini ili Kufunga Ndoa na Kibenten

Msanii wa Bongo fleva Faidha Omary maarufu kama Sista Fey ametangaza kuwa Yupo Tayari kubadilisha dini yake kutoka kuwa Muislamu mpaka Ukristo kwa ajili ya ndoa.

Sista Fey ambaye yupo Kwenye mahusiano na msanii Elias John maarufu kama Hollystar wamekuwa wakitengeneza headlines kwa vituko vyao Kwenye mitandao ya kijamii.

Katika mahojiano aliyofanya na Global Publishers, Fey amesema kwa sasa wako kwenye mipango ya kuingia kwenye ndoa harakaharaka kwa kuwa ni mjamzito hivyo yupo radhi kubadili dini kwa sababu amependa kweli.

Tuko kwenye mipango ya ndoa na ndani ya miezi miwili hii tutafunga ndoa, niko tayari kubadili dini, tunasubiri tu uamuzi kutoka kwa babamkwe kwamba tutafunga ndoa ya bomani au kanisani.

Sioni shida kubadili dini au kuolewa na kijana huyo, kisa namzidi umri kwa sababu hakuna asichokijua kwenye dunia hii, nampenda na siwezi kumuacha ndiyo maana niko tayari kubadili dini nimfuate kwenye ukristo kama mzazi wake ataamua hivyo

Sister Fey Amlilia Linah, Asema Anatamani Ampeleke Polisi

Mwanadada msanii wa muziki ambae kwa sasa amekuwa akitrend na drama zake katika mitandao ya kijamii kuhusu  kuwa na mahusiano na kibenten lakini pia kutokana na vituko ambavyo wamekuwa wakifanya katika miadao ya kijamii ameonekena aklia alipokuwa anahojiwa kuhusu msanii mwenzake linah.

Hivi karibuni, Linah alisikika akisema kuwa amekuwa akiwachukia Sister Fey na Holystar mabae ndio mpezni wake kwa sasa kutokana na mambo wanayoyafanya na kuyaweka hadharani kiasi kwamba wanaonekana kama wanaigiza.

Mwanadada Linah Sanga.

Hata hivyo baadaya kusikia hivyo Sister Fey anasema kuwa amelipoke swala hilo kwa masikitiko makubwa na anachoamini  ni kwamba kama mtu anatangaza kuwa anakuchukia mana yake anweza kukufanya kiyu chochote kile  hata kukuua kwa sababu tayari anakuchukia.

sister fey anasema kuwa anatamani kwenda polisi kwa sababu anahofia sana usalama wake kwa sasa “wasanii ni kweli hatupendani kabisa na huenda labda anataka kuniua,siajpedna na nimeua , mpenzi wangu ameuamia ila mimi nimeumia zaidi.kwa sababu ukiangalia sasa hivi pia kuna msanii mwenzetu anaumwa kwa sababu tu ya kuwekewa  sumu kwenye kinywaji

Sister fey Aongea na Watanzania Kuhusu Kipaji Chake.

Mwanamama asiyeishiwa matukio katika mitandao ya kijamii, Faidha Omary maarufu kama Sister Fey amefunguka na kuiomba jamii ya kitanzania imuunge mkono katika kazi zake za sanaa azifanyajo huku akiwataka wasimuhukumu kwa mambo anayoyafanya mitandaoni bila ya kujua undani wake.

Sister Fey amebainisha hayo wakati alipokuwa anapiga stori na www.eatv.tv, baada ya muziki wake kushindwa kufika mbali kutokana na watu wengi kupenda kufuatilia mahusiano yake zaidi, ambayo amekuwa akiyaweka hadharani kupitia mitandaoo ya kijamii.

“Watu wengi wananichukulia mimi kama chizi kutokana na mambo ninayoyafanya lakini hawapaswi kunihukumu kwa kunitazama upande mmoja. Mimi ni mwanamuziki mzuri tu, na pengine katika wasichana watatu wanaofanya vizuri bongo basi mimi naweza nikawa namba mbili. Sijapata tu mtu wa kunionyesha katika jamii kuhusiana na kipaji changu nilichokuwa nacho”, amesema Sister Fey.

Mbali na hilo, Sister Fey amedai kwamba hiki anachokipitia kwa sasa ipo siku atajitokeza mbele ya watanzania na kuwaambia ukweli uliofichika juu ya maisha yake, ambayo ameamua kuyaweka rehani kwa kufanya vitu ambavyo vimekuwa vikiwakera jamii.

Sister Fey Amtolea Povu Steve Nyerere, Amtuhumu Kwa Kula Rambirambi.

Mwanadada Sister Fey amefunguka na kumtolea povu msanii wa bongo movies steve nyerere baada ya steve kumwambia Sister fey kuwa sio msanii kutokana namambo anayoyafanya katika mitandao ya kijamii yeye na mpenzi wake ambae amemzidi umri.

Akiwajibu waandishi wa habari, Fey anasema kuwa pamoja na kwamba Steve anamsema yeye sio msanii lakini amekuwa akimshangaa yeye kama kiongozi kila siku amekuwa akituhumiwa kwa kula rambirambi na michango mbalimbali ya misiba na shughuli mbalimbali.

Mi naona sasa hivi kwa sababu misiba haijatokea tu, na kwanini yeye ana niita mimi sio msanii kwanini ananiongelea sasa , mimi kama nani akiniongelea.kama mimi sio kioo cha jamii kwani yeye ni kioo cha jamii, kwanini anakula rambirambi za watu misibani huko.anafanya mambo mengi sana ambayo unayajua lakini tunaacha.

Sister Fey Ataka Kumpiga Mwandishi Kisa Kibenten

Msanii wa muziki Sister Fey alizua gumzo baada ya video moja wapo kusambaa akitaka kupia vbao mwandishi aliekutana nae buchani akiwa na mpenzi wake baada ya kumhoji maswali yanayohusiana na mahusiano yake hayo mapya.

Hasira ya Sister Fey ilikuja baada ya mwandishi huyo kumuuliza Sister Fey anajisikiaje kuwa katika mahusiano na mtoto mdogo ndipo aliposhikwa na hasira na kumpiga kibao na kukataa tena kufanya nae mahojiano.

Tangu sister fey atangaze na kuweka mitandaoni mahusiano yake mapya, kumekuwa na waandishi wengi wakitaka kujua undani wa penzi hilo hivyo amekuwa akikutana na interviews nyingi sana .

kwa hasira sister fey alisikika akisema “huyo sio mtoto huyu ni mume wangu tena uwe na adabu sawa..pum***** tena uwe na adabu siku nyingine usirudie huyu ni mume wangu.” Alisema Sister Fey kwa hasira na kuondoka eneo la tukio.

 

 

 

Sister Fey :-Sijui Umri Wake Mimi Ninachojali Ananifurahisha na Yuko Vizuri

Msanii wa bongo music Sister Fey amefunguka na kuelezea situation anazokumbana nazo katika penzi lake jipya na msanii holystar ambae ameanza kumuweka katika mitandao hivi karibuni.

Fey anasema kuwa video na picha ambazo zimekuwa zikisambaa katika mitandao alikuwa amezipost yeye mwenyewe ingawa mpenzi wake huyo alikuwa hataki kupost video na picha hzio lakini yeye ndie aliamua kufanya hivyo aada ya kutukanwa na dada wa mpezi wake huyo.

Fey anasema kuwa watu  na ndugu wa mwanaum huyo wamkeuwa wakimtukana kuwa  anatembea na ndugu yao mwenye umri mdogo lakini vha ajabu yeye hata umri wa mwanaume wake haujui anachojali ni raha anazopata tu.

kwanza kuhusu ile video mimi ndio nilikuwa nimmwambia kuwa dada ake amenitukana lakini akaniambai niache nisiseme kitu,niliipost mwenyewe maana yeye hata alikuwa hajapenda mimi nipost.dada ake alinitukana kutokana na mambo ya watu ya kiswaili swahili.

dadaake anasema kuwa mdogo wake mdogo lakini mimi hata miaka yake sitaki kujijua na sioni udogo wake ana udogo gani sasa wakati mimi ananifurahsiha na yuko vizuri, hata sijui nimepisha nae miaka mingapi wala sijui ana umri gani.