T.I.D Atupilia Mbali Kejeli za Kuitwa Mtoto wa Mama
Msanii wa muziki mkongw nchini T.I.D ametupilia mbali maneno ya kejeli ya wasanii wenzake wanapomiwta kuwa yeye ni mtoto wa mama kwa sababu tu amekuwa akiishi nyumbani kwa mama yake na hataki kuahama hapo.
Hata hivyo msanii huyoahafu, ameonekana kutokujali swala hilo na kusema kuwa hata watu wanaokaa na kujaji swala hilo Hawana cha maana wanachomiliki zaidi ya maneno katika mitandao ya kijamii.
mimi sijali pale mtu anaponiita mtoto wa mama kama yeye mwenyewe anatembea kwa miguu na wengine wanalala getto, wachafu, wananuka mdomo, .Mimi sijali kwa sababu mimi ni very famous guy in this time.
T.I.D akiwa kama moja ya wasanii wakongwe, anasema kuwa amekuwa na shida ya kutapekiwa pesa zake na platform za muziki kwa kuwa wao wanauza muziki wake na wanashindwa kumlipa.