Steve Nyerere Anatafuta Riziki Kupitia Sisi :-holystar.
Msanii wa bongo movies ambae pia ni mpenzi wa Sister fey, Holy star a,efunguka na kusema kuwa katika vitu mabavyo mpenzi wake sister fey amemuudhi ni kumuongelea sister fey kwa sababu steve ana tafuta riziki kupitia wao kama alivyowahi kufanya katika msiba wa Muna.
Holy star anayasema haya ikiwa zimepita siku tangu Steve Nyerere kuongelea mahusiano ya Sister fey na holystar ambapo baada ya hapo sisterfey alimjibu na ndipo mpenzi wake huyo aliposema kuwa Sister fey hakupaswa kumjibu chochote kwa sababu steve anatafuta kiki.
kitu alichoniudhi ni kumzungumzia steve kwa sababu mwenzetu anatafuta riziki, kama alivykuwa akitafuta riziki katika msiba wa muna pale katikati lakini riziki ikachuja na sasa hivi ameona bora atafute kupitia huku kwetu.unajua steve ameka anazungumza na kusema mke wangu afungiwe miaka 18, sasa anataka mimi niishije yaani,kwa mtoto wa kiume huweiz kukaa miaka 18 bila mwanamke.