Siwezi Kukaa Sehemu na Jux Kama Vannesa Hayupo.
Mimi mars ambae ni mdogo wake na Vannesa amefunguka na kusema kuwa hawezi hata siku moja kukaa sehemu na shemeji yake Jux ikiwa dada hayupo katika eneo hilo.Mimi Mars amesema kuwa hata kipindi dada yake alipokuwa hayuko sawa kimahusiano na Jux ilikuwa ni vigumu sana kwa wawili hao kuwa pamoja labda kama watakutana tu studio na maeneo ya kazi.
Mimi na Jux hatuna ukaribu labda tumekutana tu studio au sehemu ya kazi lakini tofauti na hapo siwezi kukaa sehemu na Jux alafu Vannesa hayupo, na hata studio tukikutana ni kusaidia kazi na kupeana tu ile hi basi ,ila hicho ni kitu ambacho hatakaa haweze.
Mimi Mars amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hana mahusiano kabisa ingawa amekuwa akikutana na tetesi nyingi sana za yeye kutoka kimapenzi na wasanii wenzake lakin habari hizo zote hazina ukweli wowote na kamwe hawezi kutoka kimapenzi na mtu maarufu kwa sababu anaamini hakuna kazi itakayofanyika.
Kipindi cha nyuma kidogo mimi mars alishawahi kusingiziwa kutoka kimapenzi na Diamond Platinumz,Quicker Racka na hata Joh Makini lakini mimi