Sister Fey Ataka Kumpiga Mwandishi Kisa Kibenten

Msanii wa muziki Sister Fey alizua gumzo baada ya video moja wapo kusambaa akitaka kupia vbao mwandishi aliekutana nae buchani akiwa na mpenzi wake baada ya kumhoji maswali yanayohusiana na mahusiano yake hayo mapya.

Hasira ya Sister Fey ilikuja baada ya mwandishi huyo kumuuliza Sister Fey anajisikiaje kuwa katika mahusiano na mtoto mdogo ndipo aliposhikwa na hasira na kumpiga kibao na kukataa tena kufanya nae mahojiano.

download latest music    

Tangu sister fey atangaze na kuweka mitandaoni mahusiano yake mapya, kumekuwa na waandishi wengi wakitaka kujua undani wa penzi hilo hivyo amekuwa akikutana na interviews nyingi sana .

kwa hasira sister fey alisikika akisema “huyo sio mtoto huyu ni mume wangu tena uwe na adabu sawa..pum***** tena uwe na adabu siku nyingine usirudie huyu ni mume wangu.” Alisema Sister Fey kwa hasira na kuondoka eneo la tukio.

 

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.