Sister Fey Apata Mkataba Mpya Nchini Kenya
Mwanadada Sister Fey ambae kwa sasa anauguliwa na maumivu ya kuachwa kwa talaka tatu na aliyekuwa mme wake Holy star , anapata faraja ya kufutwa machozi ya uchungu huo baada ya kupata shavu la kusaini mkataba na kampuni moja ya muziki nchini Kenya inayojulikana kama Top star entertainment.
Mwanadada huyo ambae amekuwa katika game kwa muda mrefu lakini kwa sasa alikuwa kimya kimuziki na kujulikana sana kwa kiki hasa baada ya kujiingiza katika mahusino ya kimapenzi na kijana mdogo anategemewa kufanya vizuri katika muziki kwa sasa kwa sababu ya uongozi huo kuonekana imara a makini katika kazi.
Sister Fey na holy star walifunga ndoa mwaka jana na kuachana mwaka huu kwa tuhuma za mwanamke kuwa akirudi usiku nyumban , tabia iliyomshinda mwanaume.