Shiloleh Akanusha Kuvujisha Video ya Nandy na Bilnass.
Mwanamuziki shiloleh amefunguka na kukanusha taarifa za kuwa yeye ndie aliweka picha na video ya nandy na bilnass aktika mitandao ya kijamii na kusema kuwa post aliyokuwa ameiweka katika mitandao ya kijamii ilikuwa ni ya mzaha na utani tu.
Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo, Shiloleh anasema kuwa inawezekana kuna mtu anaweza kuwa ndie aliyevujisha video hiyo lakini alipoona Shiloleh amesema imekuwa ni kama mamepata kisngizio kuwa ndie aliye fanya hivyo.
Hamna kitu kama hiyo, mimi nilikuwa nimeweka tu ili kutania kama vile ambavyo unaweza kumwambia mtu kesho utakufa na kweli kesho anakufa kwaio inaonekana wewe ndio wewe kumbe wtu tayari walikuwa na mambo yao.lakini ukweli sijawahi kuziona na wala sihusiki kabisa.inawezekana ni mtu ametembea na link na kutafuta sababu.
Mashabiki katika mtandao wa instagram wamekuwa wakimtuhumu shiloleh baaada ya kusema kuwa alikuwa na picha nyingi za faragha za wawili hao hivyo mashabiki wamehisi hata hiyo video itakuwa iliwekwa na shiloleh.