shiloleh Akana Kuwa na Mimba ya Uchebe
Baada ya Shiloleh kuonekana katika mitandao amenenepa na mwili wake kuongezeka sana , watu walianza kumsema katika mitandao ya kijamiii kuwa msanii huyo anaweza kuwa ni mjamzito wa mimba ya mume uchebe.Shiloleh na Uchebe wamefunga ndoa miaezi miwili iliyopita akini mwanadada huyo mwili wake unaonekana kuongezeka kadri siku zinavyozidi kusogea.
Wakiongea leo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Tv , Shiloleh aliesindikizwa na mumewe Uchebe amekanusha tetesi hizo na kusema kuwa yeye sio mjamzito kama vile watu wanavyo tangaza katika mitandao ya kijamii.
sina ujauzito wala nini watu wananiombea mema sana,. ila mume niliendae ananifanya nizidi kunenepa
Akiongelea swala lilikuwa likivumasana katika mitandao kuhusu ndoa yake kusababisha mgogoro kati yake na dada yake, Shiloleh amesema kuwa dada yake alikuwa hatai kabisa aolewe na Uchbe kwa sababu anaami ni kuwa uchebe hana pesa.
dada yangu alikataa kata kata uchebe kwa sababu alikuwa anasema mume wangu hana kipato