Shabiki Ataka Kumzalia Ray na Chuchu Hans
Hivi karibuni msanii wa bongo movie Chuchu Hans alifumnguka na kusema kuwa hataki tena kuzaa ingawa mwanaume alie nae hawajapanga kuachana lakini kwa upande wake anaona kuwa hawezi kuzaa tena kwa sababu ana mtoto mwingne kabla ya kuzaa Ray.
Moja ya shabiki zake amejitokeza na kumuomba Chuchu Hans kumsaidia kuwa sagorati mother, kwa sababu anawaona kuwa wawili hao bado vijana na wananguvu nyingi za kuzaa lakini kukataa kuzaa tena ni sawa na kuwakatili watoto wao.Lakini pia shabiki huyo amesema kuwa Ray ana bahati ya kupata watoto wazuri sana kwaio hata yeye anaamini kuwa mtoto atakae zae atakuwa mzuri kama huyo wa kwanza.
Mambo mimi naitwa Agy nataka niwe sagoreti mother wa rayy kwa sababu nilisikia kuwa chuchu hans hataki kuzaa tena ingawa bado wanapendana sana na mume wake.nimemshangaa chuchu wamepata mtoto mzuri san aalafu wanakataa kuzaa mtoto mwingine,ningekuwa mimi ningezaa hata kumi.
Hata hivyo shabiki huyo ameomba kutokupandikiza mbegu bali atembee na Ray kwa usiku mmoja kisha abebe mimba na kuachana nae kwa sababu hawezi kuwa mke wa pili kwa sababu ana wivu sana.
nataka kutembea na baba jaden kwa usiku mmoja tu kisa anipe mimba niachane nae, asikwambie mtu ray mwanaume mzuri bwana hakuna atake kataa kuzaa nae.
Mwandada huyo anasema kuwa anampongeza ray na chuchu kwa kuleta mtoto mzuri hivy wanatakiwa kuongeza mwingine kwa sababu kuwa na mtoto mmoja mzuri kama yule ni kujipa mawazo na atawasumbua sana vibini kipindi atakapokuwa mkubwa.Hata hivyo shabiki hyo amesema kuwa anashangaa kuysikia kuwa Chuchu amekuwa akimbana sana Ray.