Shabiki Amlilia Alikiba Ukumbini.
Dada mmoja aliyekiri kuwa yeye ni shabiki wa alikiba miaka yote amejikuta akiangua kilio katika show yote ya alikiba wikiendi iliyopita alipopanda jukwaani katika jukwa la Tigo fiesta.
Dada huyo ambae alionekana kama anafanya utani mara baada ya Alikiba kupanda jukwaani akiimba wimbo wa seduce me , lakini ghafla kadr burudani ilivykuwa ikiendelea alianza kupagawa mpaka kufikia ahatua ya kukimbia na kulivamia jukwaa kwa ajili ya kutaka kumshika msanii huyo.,
Hata alipoojiwa khsuu swala hilo , mwanadada huyo alisema kuwa amekuwa akimpenda Alikiba kila siku na hajawahi kuacha kumpenda kama shabiki hivyo kwake kumuona ni swala lenye furaha sana.
Sada huyo anasema kuwa mara zote anaposikia kuna show likiba anafanya amekuwa akifanya kila jitihada ili aweze kufanikiwa na kufika kwa ajili ya kukonga moyo wake.