Rose Ndauka Awatolea Uvivu Watoa Mimba
Wadada wengi wa mjini wamekuwa na dhana kwamba kubeba mimba na kulea mtoto ni moja ya hatua ya kuzeeka au kuharibu mwili, hivyo wengi ukataa kubeba mimba na hata wakibahatika kubeba mimba basi wengi uzitoa ili kuepukana na majukumu ya uzazi.Ingawa katika tasnia ya bongo movies na bongo fleva tunaona sasa wasanii wa kike wanaoendelea kuzaa na kuwa wazazi inaongezeka lakini bado wapo baadhi yao wameendelea kuwa na tabia ya kutoa mimba wanazopata.
Rose Ndauka ni moja ya wasanii wa kike ambao pia ni walezi, yeye ni mama wa mtoto mmoja wa kike na amekuwa mama bora kwa mtoto wake.Akiongea kwa undani kuhusu watu wanaotoka mimba Rose Ndauka anasema kuwa mtoto ni faraja sana kwa mama na hata wazazi wote wawili pia kuwa na mtoto ni oja ya faraja pale unapokuwa katika waati mgumu kwaio wasanii wajifunze kuwa kuzaa sio bahati mbaya.
Rose Ndauka anasema kuwa wadada wengi wamekuwa wakitoa mimba bila kujua kuwa watoto ni baraka kwa familia pia ni faraja pale mtu unapopata changamoto.
Nawashangaa wasichana wengi wakipata mimba wanaanza kuwaz kutoa nila kujua kuwa mtoto ni faraja kubwa sana katika familia,I wishi wangekuwa wanajua furaha na faraja ya mwanamke yoyote ile ni kuwa na mtoto, wasingefanya hivyo…huwezi amini kabisa kuwa furaja ya kuwa na mtoto kwa mawanamke ni zaidi ya changamoto.-Alifunguka Rose Ndauka.
Hata hivyo inabidi wanawake na wasanii wa kike wajue kuwa uwezekano wa kuzaa na kuwez kumaintain mwili wako kurudi katika hali ya kawaida, lakini pia wakiwa kama vioo katika jamii tunazoishi kwa sababu wanakuwa wakiangaliwa an watu wengi wanapaswa kufanya yale ambae yanawapendaza jamii.