Roma Atoa Kituko cha Video ya Parapanda ku-shoot-iwa Mbinguni.
Msanii Roma mkatoliki amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hawataweza kuachia wimbo wa parapanda kwa sasa kwa sababu bado wako na idea ya kufanya hivyo.
msanii huyo anasema kuwa wamkeuwa wakiangaika sana kufanya hivyo mara nyingi na ma-director tofauti na kufikia uafaka kuwa wanataka kufanya video hiyo mbinguni laki wanaweza wakienda huko watarudije huko.
baadae wimbo uliruhusiwa na ukandelea tu vizuri lakini hapo kweny video tuseme tu ukweli kuwa tulikosa kabisa idea ya video ya parapanda kabisa ambayo ingeweza kuwaridhisha watu wakaipenda , na tulishare na madsirector wengi sana kuhusu idea ya video iyo na tkakosa lakini mwisho wa siku kuna waliosema mmh labda twende mbinguni, na nikawaambia kwenda rahisi ila kutudi itakuwaje kufanya show.
Mpaka sasa video hiyo haijatoka na kwa mujibu wa Roma ni kwamba bado amekuwa akisubiri kwa sababu hawaba idea ya wimbo huo.