Pretty Kindy Akumbwa na Skendo za Uchawi

Mwanadada wa mzuiki wa kizazi kipya  bongo ambe hivi karibuni alipatwa na majanga ya kufungiwa muziki wake baada ya kupewa adhabu  na Mh Naibu Waziri  anaehusika na maswala ya sanaa baada ya kutuhumiwa kutupia picha za utupu katika mitandao ya kijamii na kurekodi picha za uchi Susani Michael almaarufu kama Pretty Kindy amekumbwa na tuhuma za kuwa mchawi na kutumia njia za shiriki.

Skendo hiyo ilimkuta mwandada huyo  alipokuwa akiishi huko New Delhi nchini China baada ya watu anaokaa nao kumshangaa mwanadada huyo kuya-win maisha ailhali watu wote anaokaa nao wamekuwa walikuwa wakiteseka na maisha jinsi yanavyozidi kuwa magumu.

download latest music    

Chanzo cha habari kutoka nchi humo kimewataarifu waandishi wa habari kuwa wasichana wenzgi ambao amekuwa akikaa nao Pretty Kindy nchini humo wamefurahishwa sana na kitendo cha msanii huyo kufungiwa kufanya kazi kwa sababu alikuwa na maisha mazuri lakini pia alikuwa akijiona sana na kuwatambia .

Pretty Kindy wa bongo watu wengi kule walikuwa wakimjua kwa kutumia ndumba sana,ili mambo yake yamnyookee kwa sababu mara nyingi alipokuwa huko alikuwa akiwazidi wenzake kwa kila kitu na kila alichokuwa akifanya mambo yake yalikuwa yakimnyokea sana.hali hiyo ilisababisha minongono sana kiasi kwamba hata alipoondka hakuna aliyekuwa anampenda mwanadada huyo.-Alisema moja ya watu wa karibu anaepatikana huko.

Hata hivyo baada ya msanii huyo kutafutwa na waandishi wa habari kuelzea tetesi hizo zinazomkabili , alikataa katakata na kusema kuwa yeye sio mchawi hata kidogo.

Jamani mimi sio mchawi wananizushia tu kwa sababu ya chuki zao binafsi ,mimi niko karibu na Mungu sana kuliko hata watu wanavyodhani na hata usiki huwa nakesha nikisali, sasa huo uchawi nafanya saa ngapi.

Hata baada ya kufungiwa kufanya kazi na naibu waziri msanii huyo , Pretty Kindy alianza kulalamika kuwa maisha yamekuwa ni magumu sana kwa upande wake kwa sababu kazi  alikuwa anategemea kumuingizia kipato kwa sasa hakipo tena hivyoamebaki kuwategemea ndugu zake tu.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.