Pretty Kindy Akanusha Kujiuza

Msanii wa muziki Pretty Kindy amefunguka na kuongelea kile kilichokuwa kikisemwa katika mtandao kuwa amekuwa akijiuza kwa muda aliokuwa maefungiwa ili kupata ela za kujikimu na maisha na kwamba hata hiyo tabia ya kuvaa nguo fupi ni kwa sababu alikuwa anatangaza biashara ya kujiuza.

hapana mimisijawahi kujiuza kama watu wanavyosema na unajua kuwa kuna watu wa aina mbili  kuna watu wanavaa vile kwa sababu wanatangaza biashara na anataka kujiuza lakini kuna mwingine anavaa vile kwa sababu anakuwa anaiga utamaduni wa nje.mimi nilikuwa navaaa vile kwa sababu nimeishi nje na nimepata  kukulia huko kwaio nikawa nimeshajijengea akilini mwangu kaio hata nilivyorudi hapa nikawa vilevile.

Pretyy kindy kwa sasa yuko huru baada ya kupokea msamaha kutoka kwa wizara husika baada ya kuona kuwa adhabu waliompa imeshamfunza kitu

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.