Picha za Amber Ruty Zinaleta Joto”-Rc Makonda
Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam , Paul Makonda amefunguka na kuwataka wasanii wote kutumia mitandao ya kijamii vizuri na kuitumia kwa ajili ya manufaaa ya tanzania na sio vinginevyo,
Rc Makonda amefunguka na kusema kuwa kwa wasanii wana nafasi kubwa sana ya kutangaza utalii wa tanzania na kila kitu kinachoptakina ahuko na sio kuweka picha za ajabu ambazo pia zinavunja maadili ya watanzania.
Akiongea mbele ya waziri mkuu Khassim Majaliwa pamoja na waziri wa maliasili na utalii Khamis Kigwangala , Rc Makonda amefwaomba viongozi kuwatumia wasanii katika kutangaza utalii lakini pia wasanii pia wazitumie nafasi hizo ipasvyo.
niwaombe wananchi wa dar watumie nafasi walizonazo kutangaza utalii wetu wa Tanzania, wasanii wenye wafuasi wegi watumie kutangaza utalii wa watanzania pia ili Dunia ijue kile kilichopo tanzania kuliko kusambaza picha chafu mtandaoni kama za Ambr Rutty zinazoleta laana na joto.