Penzi la Mobeto na Diamond Lazidi Kupamba Moto

Hata baada ya kupelekana mpaka polisi hakuna alikuja kukaa na kuamini kuwa msanii diamond platinumz na Hamisa mobeto watakuja tena kuwa pamoja na kuonekana katika mitandao ya kijamii kuwa wapo pamoja.

hivi karibuni wasanii hawa walivujisha video ikiwaonyesha wakiwa chumbani pamoja na hivi karibuni tena wamepost picha ya pamoja ingawa hawakutaka kuonyesha sura zao lakini wajuzi wa mambo walipokuja kuunganisha walikuja kugundua kuwa viatu vya kiume ni vya diamond platinumz.

download latest music    

katika mtandao wa snapchat ambapo wasanii wengi wamekuwa wakijinadi kutokana na kuwa na watu wachache lakii wenye usiri mkubwa hamisa aliwka picha ikionyesha viatu vya kike na vya kiume pamoja na kuandika ” bae and i”

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.