Pascal Cassian Awataka Wasanii Kuacha Unafiki Msibani kwa Ruge
Msanii Pascal Cassian ambae kwa sasa yuko hospitali akipatiwa matibabu hospitali amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi sasa hivi wameonekana kuguswa sana na msiba wa Ruge wakati alipokuwa hai hakuna aletaka kujali hali yake kwa ujumla.
Pascal Cassian ambae kwa sasa ni mgonjwa na alisaidiwa sana na mh paul makonda anasema kuwa wasanii walikuwa kimya sana na walikuwa wapi kuonyesha kusikitishwa kwao na hali ya Ruge mpaka wameona sasa hivi hayupo ndio wameanza kujitokeza kufanya hayo wanayofanya.
katika ukurasa wake aliandika