Papii Aelezea Aelezea Maisha yake Baada ya Miaka 14 Gerezani.
Msanii papii na baba yake Mzee Nguza Ijumaa ya wiki iliyopita alipata fursa ya kuelezea maisha yake ya uraia baada ya kukaa miaka 14 gerezanina huku akisema kuwa kutoka kwao ilikuwa ni kwa nguvu za mungu kwa sababu kifungo chao kilikuwa ni kifungomkisichokuwa na matumaini.
Papii ambae anasema kuwa kipindi aliondoka alikuwa ameacha mama na mtoto wake aliitwa Asha ambae alikuwa na umri wa miaka 4 amerudi na kumkuta binfi yake huyo akiwa tayari amekuwa mkubwa lakini alikuta mama wa mtoto wake tayari ameshaolewa na mwanaume mwingine.
Papii kocha akiwa na mtoto wake aliemuacha akiwa na miaka 4
Niliondoka nikaacha mtoto wa kike, asha mwenye miaka mi4 na kwa sasa ni mkubwa tena binti ana miaka 18.kuhusu mama yake hatuko nae tena kwa sababu ameshaolewa…sijaumia kwa sababu kifungo chetu kilikuwa hakina matumaini hivyo ni sawa tu yeye kuolewa tena.
kwa upande wa baba yake Mzee Nguza yeye alisema kuwa kwa upande wake aliondoka kwenda jela tayari mama yao na kina papii alikuwa maeshakufa na kwa sasa yuko singke lakini anatafuta mzee mwenzake ambae atakuwa akimfulia nguo.
Niko singo natafuta mama mmoja mzee wa kunifulia tu.-Alifunguka Mzee Nguza.
Papii kocha na Nguza Viking ni baba na mtoto ambao walikuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha lakini kwa kudra za mwenyezi mungu na kwa msamaha wa Rais walitoka na kuwa uraiani mwaka 2017 na kuwa huru.
Kwa mara ya kwanza Papii na Nguza wamefanya show kubwa pale katika ukumbi wa Solomon Hall na kuhudhuriwa na wasanii na watu maaarufu mablimbali huku show yao ikiacha historia kwa sababu imekuwa ni show yao ya kwanza tangu watoke gerezani na wamehaidi kufanya mengi mazuri kwa mashabiki wao waliokuwa wamewamiss mud mrefu.