P-Square Aikubali Kwangaru ya Harmonize
Msanii mkubwa, mkongwe na mkali kutoka nchini Nigeria P-SQUARE, amefunguka na kusema kuwa katika nyimbo bora anazozikubali sana kutoka nchini Tanzania ni ule wa kwangaru kutoka hapa nchini wa Harmonize na Diamond.
Akiongea katika moja ya mahojiano yake,p-square alisema kuwa wimbo huo mabao ulipata headline zaka katika vyombo vingi vyahabari umekuwa moja ya nyimbo zake anazozikubali sana kutoka nchini.
Wimbo wa Kwangaru, ni moja ya nyimbo kutoka lebo ya wcb ambao umefanya vizuri sana kwa mwaka huu kwa vyobo vya ndani na nje ya nchi.