Nina Ukubwa Gani Hata Nisolewe Tena :-Khadija kopa
Mwanamama khadija kopa amefunguka na kusema kuwa kuna watu wamekuwa wakimuandama sana kuhusu swala la yeye kutka kuolewa tena huku wakiwa kama hawawaoni wale ambao wamekuwa wakitembea na vijana wdogo chini ya umri wao.
khadija kopa anasema kuwa anachoamini yeye ni kuwa kama umri wake bado unaruhusu anachosubiri ni bahati yake kutoka kwa Mungu kumleta mwanaume anaeona yeye kuwa anamfaaa lakini swala la kuolewa halina maajabu tena hasa kwa umri wake.
akijibu tuhuma hizo kwa bashasha Khadija kopa anasema “mimi nia ukubwa gani hata nisiolewe tena, hao wa bibi wanaohangaika na watoto wadogo hamuwaoni ndo mseme mimi siweiz olewa tena.mimi nipo tayari kuolewa nasubiri riziki yangu Mungu akiniletea.