Niliwaambia wasafi Wapige Hadi za Alikiba-Niki Mbishi
Msanii wa miondoko ya hip-hop nchini Niki Mbishi ambae ndio alikuwa msanii wa kwanza kutoa pongezi zake kwa diamond baada ya kufungua televisheni yake mpya ya wasafi tv, amefunguka na kusema kuwa anafurahshwa sana na tv hiyo kwa sababu wanapiga ngoma za kila msanii na wanafanya vizuri kwa hilo.niki anasema kuwa kama ndio wameanza hivyo basi waendelee hivyo hivyo.
Mi sijawahi kufungamana na mtu yoyote yule,yoyte anaefanya kitu kiuzri mimi nampongeza tu.sisemi hivyo kwa sababu labada nimeona wimbo wangu hapana jana si tumekaa hapa tunaangalia wanagonga mawe hasa,waendele hivyo sio mwanzao wanakuwa hivi afu baadae wanaanza kubadilika na kuweka watu wengine pembeni.
Niki anasema kuwa waachane na kubagua wasanii na wapige ngoma ya kila mtu, lakini pia niki anasem akuwa anafurah kwa sababu aliwashauri tv hiyo kupiga ngoma zote hadi za Alikiba na kuachana na mambo ta teams ili kuwanyamazisha wanaongea sana.
umwinyi umwinyi na kujuana juana huyu anatoka ukanda fulani , mara huyu wa kabila flani , wagonge ngoma hadi za kina alikiba, nilimwambia mimi pigeni hadi ngoma za alikiba ili kuwanyamzaisha wanaongea ongea huko sijui team nini , team nini wote wanakaa kimya.ingawa bado kuna wananchi hawatosheki wanakwambia ooh mnamshobokea mnashobokea jamaa.