Nikienda Kambini Wife Nitamuacha na Nani Nyumbani.:-Alikiba
Msanii wa muziki wa kizazi kipya alikiba amefunguka na kusema kuwa tangu ameanza kucheza katika timu ya coastal uniona mpaka sasa ahajawahi kukaa kambini kwa sababu yeye anaambi kuwa chemistry nuri kati yake na wachezaji mwengine inatgngenezwa uwanjani na wala sio kukaa kambini kila siku
Alikiba nasema kuwa mara zote amekuwa akitokea nyumbani na kwenda uwanjani na anafanya vizuri hiyo aamini kama kukaa kambini ndio kucheza vizuri,
Hata hivyo alikiba ansema kuwa swala la yeye kukaa nyumbani inamlazimu kwa sababu anahofia atamuacha na nani mke wake kwa kipindi atakachokaa kambini ikizingatia ligi ni ya muda mrefu.
Akiongea na Clouds media walipokuwa wakitambulisha wimbo wao mpya, alikiba ansema pia amekuwa akicheza mpira kwa ajili ya kujifirahisha na wala sio kulipwa kama inavyodhaniwa.