Nedy Music Anyakua Tuzo za Afrimma Nchini Ghana
Msanii wa muziki wa Bongo fleva kutoka katika label ya ‘Pozi kwa Pozi Entertainment Nedy Music ametangaza rasmi kupokea tuzo ya Afrimma siku ya jana.
Nedy Music, alishinda tuzo ya All Africa Music Awards 2018 (AFRIMA) usiku wa kuamkia leo Novemba 25, 2018 nchini Ghana kipengele cha African Fans Favourite.
, Asante Kwa Wote Mnaonipa pongezi Natamani kujibu hata mmoja mmoja kwa furaha
Hii Ni Tuzo Yetu Wote
Thanks once again kwa upendo na Sapoti yenu
Kubwa Mnoooo #MPEMBAMMOJATU”.
Haya ni baadhi ya Majina ya wasani mbali mbali walionyakua tuzo hizo za Afrimma 2018:
Album of the Year
Betty G – Wegegta (Ethiopia)
Best Artiste, Duo or Group in African Contemporary
Kidi (Ghana) – ‘Odo’ remix ft Mayorkun, Davido
Best Artiste, Duo or Group in African Hip Hop
M.anifest (Ghana) – Me Ne Woa ft King Promise
Best Artiste, Duo or Group in African Pop
2baba (Nigeria) – ‘Amaka’ ft Peruzzi
Best Artiste, Duo or Group in African Dance or Choreography
Mr P (Nigeria) – Ebeano
Best Artiste, Duo or Group in African Ragga, Reggae or Dancehall
Stonebwoy (Ghana)