Ndoa ya Lulu na Majjizo Yadaiwa Kuingiliwa na Kidudumtu
Yale mahusiano ambayo kila mmoja amekuwa akiyatamani katika mtandao wa isntagram kati ya majjizo na elizabeth lulu michael yadaiwa kuingia katika wakati mgumu baada ya kurasa za udaku kufanya upepelezi na kugundua kuwa wawili hao kwa sasa hawapo sawa kwa sababu ya kipigo anachopata mwanadada huyo kutoka kwa mwanaume huyo.
Akiongea kwa kusema kuwa majizo ni mwanaume anaetesa sana wanawake kwa kipigo lakini mwanadada lulu michaela amekuwa akivumilia kila siku kutokana na hali yake ya maisha ya sasa inategemea sana sapotiya mwanaume huyo.
Swala la kipigi lilianza kuzuka baada ya mwanadda huyo kuoekana kwa sasa akipiga picha katika mitandao huku akiwa amevua pete yake ya uchumba aliyovalshwa na mume wake huyo mtarajiwa miezi kadhaa iliyopita.
Hata hivyo habari hizi hazijathibitishwa na wapenzi hao ingawa kunaonekana kuwa na ukweli ndani yake.