Namshukuru Mwanangu Kufanana na Mimi, Amenistiri :-Ray
Msanii wa maigizo nchii ray kigosi anasema kuwa ansshukuru sana baada ya mtoto wake kufanana sana na yeye kuliko mama yake kwa sababu kama mtoto angefanana sana na mama yake basi inawezekana watu wangeanza kusema kuwa ameibiwa mtoto.
ray anasema kuwa walimwengu wamekuwa ni watu wa kusema maneno mengi sana kiasi kwamba wamekuwa wakisema maneno mengine bila kujua kuwa yanapomfikia mlengwa yanaweza kumuumiza kiasi gani.
walimwengu bhana wamekuwa watu wa ajabu sana, ingetokea kuwa mtoto kafuata kwa mama bila kufuata kwangu wangesema kuwa huyo mtoto sio wangu na yangeibuka mengi sana,Namshukuru mungu mwanangu kafuata kwangu amenifichia maneno mengi sana kufanana na mimi Jaden –Alisema Ray