Mzazi Mwenzie na Alikiba Atoa Baraka Zote.

Mwanamke  aliyezaa na alikiba mtoto wa kwanza wa kiume amefunguka mazito na kumtakia kheri alikiba ambae anaoa leo huki mjini Mombasa,mwanadada huyo anaejulikana kama Devotha almarufu kama mama unju amefunguka na kmpa baraka zote mzazi mwenzie na kumtakia kila la kheri.

Mama Unju amesema kuwa hana shaka na alikiba katika ndoa hiyo kwa sababu anamjua alikiba vizuri na anaamini kuwa hata huko ataend kuwa baba bora kwa familia zote bila kuwasahau watoto wake.Mama Unju anasema kuwa atahudhuria katika sherehe hiyo kama mama na anajua alikiba atafanya vizuri.

download latest music    

Leo ni siku maarumu kiande wangu, rafiki yangu , baba bora alikiba,baba usiniangushe mwenzio somo yako.Mungu akusimamaie katika ndoa yako, mimi ninakuja katika harusi kama mama k,ukawe mume bora na kujali familia zote , nenda mwanangu.

Mama Unju amekuwa msatri wa mbele sana kumsapoti alikiba nahata kipindi alikiba mara zote anapozushiwa maswala ya uongo amekuwa akimtetea katika mitandao ya kijamii, hii inaonyesha mahusiano mazuri yaliyopo katiya wazazi hao.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.