Muda Mwingine Ndugu Zetu Wanahitaji Upendo Tu :- Cyril Kamikaze
Msani Cyril Kamikaze amefunguka na kuwataka watu hasa wasanii kuwa na upendo na watu wanaowaunguka kwa sababu muda mwingine mtu haitaji msaada wowote zaidi ya upendo kutoka kwetu kabla ya kifo chao.
Maneno haya yamekuwa yakisemwa karibia na kila mtu na hasa kwa wasanii ambao kioa mtu amekuwa akilalamika kuwa mnafiki kwa sababu wamekuwa wakijari na hata kuwaposti wasanii wenzao pale wanapoata taarifa kuwa wamekufa lakini kwa kipindi wanachokuwa wakiumwa hakuna anaetaka kujali kuhusu uginjwa .
Kamikaze anasema “Tuwe karibu na jamii, ndugu , marafiki na watu wetu wakiwa hai,, muda mwingine watu hawa wanachohitaji ni upendo tu.we are all we Got.