Msanii Swebe Auaga Ukapela

Msanii mkongwe wa maigizo na filamu alienza usanii tangu kipindi cha Kaole group , Adam Swebe ameuaga ukapela kwa kuamua kufanya kitendo chakiungwana cha kuchukua jiko hivi karibuni.

Swebe ambae kwa sasa amejikita katika fani yautangazaji , akiwa anatangaza kipindi cha uhondo cha efm, amefunnga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu na kukamilisha  hadhma hiyo.

download latest music    

Wasanii wengi katika tasnia wameanza kubadilika na kujiingiza katika familia, ingawa wapo baadhi ya wasanii wanachafua tasnia hiyo kwa kufanya mambo ya ajabu wanapokuwa katika mahusiano kwa vitendo vya kujiingiza katika mahusiano ya muda mrefu yasiyokuwa na tija.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.