Msanii Kone Nouhoum Kutoka Kenya Amefariki Dunia
Msanii aliyewahi kufanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini Kenya KONE, amefariki Duniasiku ya February 27 alipokuwa bado akiendelea na matibabu nchini Kenya baada ya kupata ajali ya gari iliyosababisha kuvunjika kwa baadhi ya viungo vyake hasa shingoni.
Msanii huyo alikuwa akipatiwa matibabu na bado wasanii wenzake walijitahidi kwa hali na mali kwa ajili ya kupata pesa kwa ajili ya matibabu yake ambayo yalikuwa yakiendelea hopsitali.
Tunatoa pole kwa wasanii, familia na wanasaa wote kwa ujumla hasa katika kipindi hiki kigumu MwenyeziMungu awatie nguvu.