Mpenzi Wangu Anapata Shida Sana Kutokana na Usumbufu Ninaopata-Poshy Queen
Socialite maarufu kwenye mitandao ya kijamii Jackline Obeid maarufu kama Poshy Queen amefunguka na kuweka wazi kuwa anamuonea Huruma Mpenzi Wake kutokana na usumbufu anaopata kutoka kwa wanaume.
Kwenye mahojiano aliyofanya na Gazeti la Ijumaa, Poshy alisema kutokana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume wenye uchu wanaotaka kuwa na uhusiano naye kimapenzi, mpenzi wake huwa anapitia kipindi kigumu sana.
Kuna wakati namuonea huruma kutokana na usumbufu ninaoupata hivyo huwa anajitahidi kupambana na hali hiyo. Kuna wakati unamuona kabisa amekata tamaa, lakini nampa moyo kila siku”.
Poshy Queen alijizolea umaarufu kutokana na umbo lake matata ambalo limekuwa likiwatoa udenda wanaume wengi ambao wamekuwa wakimtaka mrembo huyo ambaye mbali na umbo zuri Lakini pia msomi wa chuo kikuu. Lakini