Monalisa Kuja na Tamasha Kwa Ajili Ya Wanawake
Msanii mkongwe wa Bongo movie Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ametangaza Fursa kwa ajili ya wanawake ambao ni wasanii pia kwa ajili ya kuuza kazi zao.
Monalisa amezungumza na waandishi wa habari na kutazangaza good news aliyowaletea wanawake wakitanzania wanao jihusisha na sanaa haswa wale watayarishaji wa filamu wakike ambao watapata nafasi ya kuonesha kazi zao kwenye tamasha la AWAFEST litakalo fanyika siku tatu hapa hapa bongo.
https://www.instagram.com/p/Btyyl15BkAu/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=3v9i2d28xd6o