Mimi na Poshi ni Kama Mafuta na Maji:-Sanchi
Mwanadada Jane Lyimo amefunguka na kusema kuwa mwanadada anaetamba sana katika mitandao ya kijamii kwa sasa anaejulikana kama poshi wala hamtii jamba jamba kwa sababu haweiz kujilinganisha nae hata kidogo.
Sanchi ambae amekuwa akitamba kwa muda mrefu kutokana na kupiga picha za kujiachia lakini pia mwenye umbo zuri la kuvutia watu katika mitandao ya kijamii,
Sanchi anasema kuwa pamoja na kwamba kuna watu wamekuwa wakianza kumfananisha na mwanadada huyo kwa umbo na baadhi ya vitu lakini ukweli ni kwamba watu hao wamekuwa wakijidanganya kwa sababu wamekuwa watu tofauti sana.
Sanchi anasema kuwa pamoja na yote ukweli ni kwamba yeye na poshi ni kama maji ya mafuta huweiz kuwafananisha hata kidogo.