“Mimi Harmonize hawezi kuniacha” Wolper
Wolper alikuwa kwenye mtandao wa Central Filamu wiki hii ambapo alizungumzia uhusiano wake na Harmonize.
Alidai ya kwamba woko pamoja na hakuna ataye watenganisha.
“Wengi wanaongea sana kuhusu mpenzi wangu kama anatoka na wanawake wengi pengine inaweza kuwa ndio sababu ya kuniacha mimi hicho hakiwezekana wanaongea kama kuna wasichana wanajipendekeza watachezewa tu,” alisema Wolper.” Alisisitiza.
Hao wawili wamerudiana wiki kadhaa tu baada ya kusemekana wameachana.