Millen Amtole Povu Shabiki Kuhusu Mtoto Wake.

Mwanamitindo Millen Magese amejikuta akiongea kwa hasira na uchungu baada ya moja ya mashabiki zake kumsema na kumwambia kuwa kwa mavazi anayomvalisha mtoto wake ni kama anataka kumuu kwa kumnyonga,.

Mwanamitindo huyo ambae amepata mtoto wake hivi karibuni baada ya kukaa kwa muda mrfu bila kupata mtoto kutokana na ugonjwa aliokuwa nao ambao kwa wanawake wengi unasababisha ugumba aliongea na kusea kuwa kwa muda mrefu sana amekuwa akitafuta mtoto huyo kwaio hawezi kufanya kitu kama icho.

download latest music    

Katika ukurasa wake wa instagram millen aliweka picha a mtoto wake ndipo alipoanza kupokea maneno ya kukera kutoka kwa mashabiki na kuamua kumjibu mmoja wapo.

                                                            

                                         Picha ya mtoto wa millen iiliyozua utata katika mitandao.

                                                      

                                             Maneno ya shabiki yaliyomtoa millen povu.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.